
Ndugu Mteja Wetu,
Tunapenda kukutangazia "Nane Nane 10 for 12 Hosting Offer" Ambayo itakuweza kupata Hosting ya mwaka mzima kwa malipo ya miezi 10 TU! Offer hii ni maalumu kwa wateja wetu wote wa Hosting package yoyote, Offer hii haiingilii siku, miezi au miaka iliyobaki kutokana na malipo ya awali uliyoyafanya isipokuwa itaongeza pia mwaka mwingine wa ziada.
Epuka usumbufu wa kulipia kila mwezi, okoa 40% ya bajeti ya hosting kwa offer yetu hii. Mwisho wa offer hii ni tarehe ni 8 August 2016. Unaweza kuwasiliana nasi muda wowote kwa maelezo zaidi.
Wednesday, August 3, 2016
Powered by WHMCompleteSolution