|
Do you need to have at least professional email accounts without / before website?
You can skip the website cost and still STAYS professional. If that was what trouble ring your minds then we have got you covered.
Aldeg TECHNOLOGIES offers unlimited professional email accounts than ever, with only a yearly domain registration fee (Starting from 30$ or 45,000Tsh) and only 5,000Tsh / 3$ monthly email accounts hosting fee then the following features are going to be entitled:-
- Domain name registration. eg www.yourname.com etc - Unlimited email accounts eg info@yourname.com etc - Enough bandwith - Unlimited deferred emails a domain may send per hour - Unlimited Hourly email by domain Relayed - Free Set UP - 24/7 Technical support
This is one our stress free activities as we are taking care of everything from mechanical to technical. What lastly is given to you are only email addresses and access link.
Click here then pick email hosting. |
Je! Unahitaji kuwa na barua pepe ziendazo na jina maalumu ulitakalo bila / kabla ya kuwa na website?
Si lazima kuwa na website ili bishiara yako iwe maalumu na ya kimataifa. "Kama ulikuwa ukisumbuka kwa suala hili kwa muda mrefu sasa umepata ufumbuzi"
Aldeg TECHNOLOGIES inakuwezesha kuwa na barua pepe ziendazo kwa jina ulitakalo zisizo na kikomo, kwa malipo ya usajiri wa jina maalumu yanayoanzia 30$ (Kwa wageni) na 45,000Tsh (Kwa watanzania) kwa MWAKA pamoja na malipo ya 5,000Tsh (Kwa watanzania) na 3$ (Kwa wageni) kwa MWEZI, huduma ya barua pepe zenye jina maalumu itatolewa ikiambatana na vifuatavyo:-
Usajiri wa jina maalumu ulitakalo, mfano www.ali.com - Barua pepe zisizo na idadi ziendazo na jina maalumu ulilochagua, mfano taarifa@ali.com - Spidi na eneo la kutosha kukuwezesha kuwasiliana kwa kutumia email hizi maalumu - Kuweza kutuma email zisizo na kikomo kwa saa, dakika au sekunde - Matengenezo ya bure - Msaada wa kiufundi muda wowote siku zote za wiki -
Bofya hapa alafu chagua email hosting. |
Get the quick updates on what is on a schedule, made or released.
Aldeg TECHNOLOGIES
Sinza Africa Sana, Kijitonyama, Mpakani 'B' P.O Box 12496 Dar es salaam, TANZANIA.